Azam FC Yatangaza Kifo cha Kipa wa U-20 Iddy Salim
DAR ES SALAAM: Klabu ya Azam FC imetangaza kwa masikitiko makubwa kifo cha kipa wa timu yake ya vijana chini ya miaka 20 (U-20), Iddy Salim, aliyefariki dunia kwa ghafla baada ya kupata ajali ya pikipiki (bodaboda) Alhamisi. Kwa mujibu wa taarifa ya klabu hiyo, mwili wa marehemu ulipelekwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa…