Saleh

Bodi ya Ligi Yatembeza Faini Polisi na Geita Gold, Massanza Apigwa Faini ya Mil 10

Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imetangaza adhabu mbalimbali dhidi ya klabu, viongozi na waamuzi kutokana na makosa yaliyotokea katika michezo ya Ligi Kuu ya NBC msimu wa 2026/27. Katika taarifa iliyotolewa Septemba 4, 2026, TPLB imesema adhabu hizo zimehusisha makosa ya nidhamu, kuchelewa uwanjani, kukiuka taratibu za mechi pamoja na udhibiti wa waandishi wa…

Read More

Yanga yavuka mipaka, yamtumia Fabrizio Romano kutambulisha jezi

Klabu ya Yanga imemtumia mwandishi maarufu wa habari za michezo duniani, hususan taarifa za usajili wa wachezaji, Fabrizio Romano, kutambulisha jezi zake zitakazotumika katika michuano ya CAF Champions League msimu wa 2026/2027. Romano, raia wa Italia, amejizolea umaarufu mkubwa duniani kupitia taarifa zake za usajili wa wachezaji na kauli yake maarufu “Here We Go”. Katika…

Read More

Ukikosa Namba Zote Usichane Tiketi, Lucky Loser Ipo

Umechagua namba zako sita, ukasubiri matokeo kwa hamu, lakini mwisho wa siku namba zote zikakataa kuingia? Usikimbilie kuhesabu hasara. Kwenye Win&Go ya Meridianbet, kuna Lucky Loser, chaguo linaloweza kufanya kile kilichoonekana kama kushindwa kugeuka kuwa ushindi. Hii ni fursa inayoongeza msisimko kwa sababu hata tiketi ambayo haikufanya ulivyotarajia bado inaweza kuwa na habari njema. Lucky…

Read More