Katika wiki mbili za mwanzo wa Julai, Meridianbet imeandika historia mpya kupitia mchezo wake wa kasino maarufu, Monopoly Big Baller. Washindi wa mchezo huu bora na wakisasa wamejikusanyia zaidi ya Tsh. 11,700,000/=, jambo linalothibitisha kuwa huu ni mchezo wa ushindi wa kweli.
Kila siku, wachezaji wanaoshiriki mchezo huu wanajikuta wakipokea malipo makubwa, wakishuhudia akaunti zao zikikua kwa kasi, na kufurahia ladha ya kucheza kwao kwani ni ndoto ya kila mbashiri kuona akishinda. Ni kama ndoto ya dhahabu inayotimia, ambapo kila tiketi ya kucheza inakuwa tiketi ya ushindi.
Vilevile, meridianbet wana michezo mingi ya kasino mtandaoni na mechi za kimataifa za kubashiri zenye ushindani mkubwa wa odds. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Monopoly Big Baller si mchezo wa kawaida. Ni mchanganyiko wa burudani na malipo makubwa, unaozidi kuiweka Meridianbet juu kabisa ya ramani ya michezo ya kasino mtandaoni nchini. Wachezaji wanaposhiriki, wanahisi msisimko wa kipekee, wakisubiri kwa hamu matokeo ya kila droo.
Zaidi ya milioni 11.7 zilizolipwa ndani ya wiki hizi mbili ni ushahidi wa wazi kwamba Meridianbet inajali wachezaji wake. Ni ushindi wa pamoja, unaoonyesha kwamba bahati haibagui. Kila mtu ana nafasi ya kushinda, na kila mtu ana nafasi ya kufurahia.
Kwa hivyo, kama unataka kuonja ladha ya ushindi, jiunge na mchezo wa Monopoly Big Baller ndani ya Meridianbet na huenda wiki mpya ikaanza na wewe. Meridianbet imeweka rekodi, na sasa ni zamu yako kuandika historia yako ya ushindi.