Breaking: Yanga SC yatambulisha mshambuliaji mpya
RASMI mabingwa watetezi wa NBC Premier League wametambulisha mshambuliaji mpya ikiwa ni maandalizi kuelekea msimu wa 2026/27 unaotarajiwa kuwa na ushindani mkali. Nyota huyu anakuwa wa pili kutambulishwa kutoka kwa watoto wa Jangwani ambao wamebainisha kwamba wamekamilisha usajili wa nyota wapya zaidi ya wawili. Huyu anaitwa Hussen Mihambo aliyekuwa anakipiga ndani ya kikosi cha Mashujaa…