Kiungo wa kati wa timu ya taifa ya Afrika Kusini aaga dunia
Soka la Afrika Kusini limegubikwa na majonzi kufuatia kifo cha kiungo wa Mamelodi Sundowns na timu ya taifa ya Afrika Kusini (Bafana Bafana), Jayden Adams, aliyefariki dunia akiwa na umri wa miaka 25, wiki chache tu baada ya kushiriki Kombe la Dunia la FIFA 2026. Adams, ambaye aliichezea Afrika Kusini katika mechi mbili za mwanzo…