Meridianbet Yatoa Mkono Katavi, Majalila FC na Kilimanjaro FC Wapata Vifaa
Meridianbet imeendelea kujipambanua baada ya kutekeleza zoezi jingine la uwajibikaji kwa jamii (CSR) katika manispaa ya Tanganyika, Katavi. Kampuni hiyo imekabidhi vifaa vya michezo kwa Majalila FC na Kilimanjaro FC, ikiwemo jezi na mipira, katika hatua inayolenga kuongeza nguvu kwenye maendeleo ya soka la vijana. Kwa timu hizo, msaada huo unakuja wakati muhimu huku wachezaji…