Ratiba ya mechi za Yanga SC NBC Premier League

Hii hapa ratiba ya mechi zijazo ndani ya NBC Premier League kwa vinara Yanga SC:-

13 Juni 2026

Mashujaa FC vs Yanga SC

Lake Tanganyika

17 Juni 2026

Fountain Gate vs Yanga SC

Sheikh Amri Abeid

24 Juni 2026

Yanga SC vs Azam FC

KMC Complex

27 Juni 2026

Yanga SC vs TRA United

KMC Complex

30 Juni 2026

JKT Tanzania vs Yanga SC

Meja Jenerali Isamuhyo

Imeandikwa na Lunyamadzo Mlyuka, Mtunzi kitabu cha Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo na Moyo Wangu Unavuja Damu.  Kuvipata TUNAOMBA ODA 0756 028 371.

Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo ni simulizi inayozungumzia maisha ya Kiafrika, usaliti, visa, furaha. Wakazi wa Njombe kitabu kinapatikana Mtaa wa Mpechi kwa Chris Jabari, Kigamboni kwa Tupokigwe, Posta karibu na Mnara wa Askari ukiwa unaelekea chuo cha IFM. Kuna kazi mpya inaandaliwa inaitwa Msichana wa Maisha Yangu, jiandae kuipata.