Matokeo ya mechi za Simba SC NBC Premier League

Haya hapa matokeo ya mechi za Simba SC NBC Premier League 2025/26. Baada ya mechi 25 imepoteza mchezo mmoja dhidi ya Azam FC, nafasi ya pili kwenye msimamo na pointi 58. Kwa mujibu wa Ligi Kuu Bara timu hiyo imepata ushindi mechi 17 na sare 7.

Tarehe Mechi Matokeo
Septemba 25, 2025 Simba SC vs Fountain Gate 3-0
Oktoba 1, 2025 Simba SC vs Namungo FC 3-0
Novemba 8, 2025 JKT Tanzania vs Simba SC 1-2
Desemba 4, 2025 Simba SC vs Mbeya City 3-0
Desemba 7, 2025 Simba SC vs Azam FC 0-2
Januari 18, 2026 Simba SC vs Mtibwa Sugar 1-1
Januari 29, 2026 Simba SC vs Mashujaa FC 2-0
Februari 11, 2026 KMC FC vs Simba SC 0-2
Februari 22, 2026 Tanzania Prisons vs Simba SC 0-2
Februari 25, 2026 Dodoma Jiji FC vs Simba SC 0-0
Machi 1, 2026 Yanga SC vs Simba SC 0-0
Machi 11, 2026 Singida Black Stars vs Simba SC 1-2
Machi 19, 2026 Pamba Jiji FC vs Simba SC 1-1
Machi 22, 2026 Simba SC vs TRA United 3-0
Aprili 2, 2026 Simba SC vs Coastal Union 2-0
Aprili 5, 2026 Azam FC vs Simba SC 0-0
Aprili 9, 2026 TRA United vs Simba SC 0-0
Aprili 15, 2026 Fountain Gate vs Simba SC 0-3
Aprili 19, 2026 Namungo FC vs Simba SC 1-3
Mei 3, 2026 Simba SC vs Yanga SC 2-2
Mei 6, 2026 Simba SC vs JKT Tanzania 1-0
Mei 10, 2026 Simba SC vs Tanzania Prisons 4-0
Mei 14, 2026 Mashujaa FC vs Simba SC 0-3
Mei 21, 2026 Coastal Union vs Simba SC 1-2
Mei 24, 2026 Simba SC vs Dodoma Jiji FC 1-0

Imeandikwa na Lunyamadzo Mlyuka, Mtunzi kitabu cha Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo na Moyo Wangu Unavuja Damu.  Kuvipata TUNAOMBA ODA 0756 028 371.

Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo ni simulizi inayozungumzia maisha ya Kiafrika, usaliti, visa, furaha. Wakazi wa Njombe kitabu kinapatikana Mtaa wa Mpechi kwa Chris Jabari, Kigamboni kwa Tupokigwe, Posta karibu na Mnara wa Askari ukiwa unaelekea chuo cha IFM. Kuna kazi mpya inaandaliwa inaitwa Msichana wa Maisha Yangu, jiandae kuipata.