NBC Premier League makipa wapo kazini kutimiza majukumu yao ndani ya msimu wa 2025/26. Hapa tunakuletea orodha ya makipa wenye clean sheet nyingi kwa mujibu wa Ligi Kuu:-
Kipa
Timu
Clean Sheets
Djigui Diarra
Yanga SC
13
Mahamadou Kassali
Simba SC
12
Aishi Manula
Azam FC
11
Jean Joel
TRA United
10
Zuberi Foba
Azam FC
8
Eric Johora
Mashujaa FC
7
Yona Amosi
Pamba Jiji FC
7
…
Imeandikwa na Lunyamadzo Mlyuka, Mtunzi kitabu cha Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo na Moyo Wangu Unavuja Damu. Kuvipata TUNAOMBA ODA 0756 028 371.
Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo ni simulizi inayozungumzia maisha ya Kiafrika, usaliti, visa, furaha. Wakazi wa Njombe kitabu kinapatikana Mtaa wa Mpechi kwa Chris Jabari, Kigamboni kwa Tupokigwe, Posta karibu na Mnara wa Askari ukiwa unaelekea chuo cha IFM. Kuna kazi mpya inaandaliwa inaitwa Msichana wa Maisha Yangu, jiandae kuipata.