Meridianbet imefanya bonge la usajili kwa kumleta staa wa zamani wa Serbia, Dejan Petković maarufu kama “Pet”, kuwa Global Brand Ambassador mpya wa kampuni hii. Hatua hii imeongeza nguvu mpya kwa mashabiki wa michezo wanaopenda ushindi, odds kali na burudani ya kimataifa inayovutia kizazi cha sasa.
Kwa wale waliokulia kuangalia Flamengo na Vasco da Gama, jina la Pet lina heshima kubwa kwenye dunia ya soka. Kupitia ushirikiano huu mpya, Meridianbet imekuja na Pet TV, sehemu maalum itakayobeba stori za soka, maisha ya mastaa na maandalizi ya kuelekea Kombe la Dunia 2026 kwa staili ya kipekee kabisa.

Vilevile, meridianbet wana michezo mingi ya kasino mtandaoni na mechi za kimataifa za kubashiri zenye ushindani mkubwa wa odds. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya MERIDIANBET au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Pet amesema yeye na Meridianbet wanafanana kwenye safari ya kupambana hadi kufanikiwa duniani. Kauli hiyo imewapa hamasa mashabiki wengi wanaoamini kwenye upambanaji, ndoto kubwa na kutokukata tamaa. Meridianbet sasa imekuwa zaidi ya kampuni ya ubashiri, ni sehemu ya mtindo wa maisha wa vijana wanaopenda burudani ya kisasa.

Mbali na ujio wa Pet, Meridian Holdings imeendelea kufanya vizuri duniani baada ya kurekodi mafanikio makubwa mwaka 2026. Ukuaji huu unaonyesha namna Meridianbet inavyoendelea kuwekeza kwenye teknolojia, ubunifu na kuwapa utumiaji bora kila siku.
Kama wewe ni mpenzi wa mpira, burudani na ushindi wa kweli, basi Meridianbet imekuletea kifurushi kamili. Kupitia Pet TV na ushirikiano huu mkubwa, mashabiki watapata nafasi ya kuona upande mwingine wa michezo wenye msisimko na burudani za kimataifa. Jiunge Meridianbet sasa na uwe sehemu ya historia mpya.
