Singida Black Stars 4-1 Mbeya City ni matokeo rasmi mchezo wa leo Mei 26, 2026 NBC Premier League kwa wababe hawa wawili Uwanja wa Airtel.
Huu ni ushindi mkubwa kwa walima alizeti wakisalia na pointi 3 muhimu huku magoli yote yakifungwa na wachezaji wa Singida Black Stars.
Magoli ya Singida Black Stars yamefungwa na Ande Koffi dakika ya 16, Muaku Malanga dakika ya 17, Khalid Aucho dakika ya 82 kwa mkwaju wa penati na Ndumumwe Mossi dakika ya 88.
Mossi anafikisha magoli 9 ndani ya ligi 2025/26 alishuhudia goli la Mbeya City likifungwa na Morice Chukwu dakika ya 3 ambaye alijifunga katika harakati za kuokoa.
…
Imeandikwa na Lunyamadzo Mlyuka, Mtunzi kitabu cha Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo na Moyo Wangu Unavuja Damu. Kuvipata TUNAOMBA ODA 0756 028 371.
Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo ni simulizi inayozungumzia maisha ya Kiafrika, usaliti, visa, furaha. Wakazi wa Njombe kitabu kinapatikana Mtaa wa Mpechi kwa Chris Jabari, Kigamboni kwa Tupokigwe, Posta karibu na Mnara wa Askari ukiwa unaelekea chuo cha IFM. Kuna kazi mpya inaandaliwa inaitwa Msichana wa Maisha Yangu, jiandae kuipata.