Feisal namba moja chati ya ufugaji
Ni Feisal Salum kiungo mshambuliaji wa Azam FC anaongoza chati kwenye ufungaji msimu wa 2025/26 ndani ya ligi namba 6 kwa ubora Afrika. Kiungo huyo anaongoza chati kwenye ufungaji akiwa na magoli 14 anafuatiwa na kiungo wa Yanga SC, Allen Okello mwenye magoli 11. Mshambuliaji namba moja kwenye chati ya ufungaji ni Prince Dube naye…