Mechi hii ni sehemu ya nusu fainali ya kombe la kirafiki la Unity Cup 2026, na itapigwa, kuanzia saa 21:30 kwa saa za Nigeria. Kwa Nigeria, ni nafasi ya kulipa kisasi baada ya kukosa kufuzu Kombe la Dunia 2026 kwa kupoteza kwa penalti dhidi ya DR Congo.
Kwa Zimbabwe, wana motisha ya kuendeleza kasi baada ya ushindi katika mechi zao mbili zilizopita huku wakijenga kikosi chao kipya chini ya kocha mpya wa muda Mario Marinica
Timu ya Nigeria itakuwa nyota wao muhimu kama Victor Osimhen (mfungaji bora wa Serie A), Ademola Lookman (Golden Boy wa Afrika), na Samuel Chukwueze. Licha ya hayo, bado wana wachezaji hatari, Akor Adams anatarajiwa kuwa kibaraka mkuu wa mashambulizi, akisaidiwa na winga mbabe Moses Simon anayependa kuwasha hatari kwa kasi yake ubavuni.
Kwenye safu ya kati, Wilfred Ndidi (Leicester City) ndiye tegemeo la kuchezesha timu na kukata mashambulizi ya wapinzani . Langoni, Francis Uzoho anatarajiwa kuanza akilinda goli.
Zimbabwe imeleta kikosi chenye mchanganyiko wa uzoefu na vijana, kikiongozwa na nahodha wao Marshall Munetsi wa Paris FC ambaye ni hatari sana kwenye mpira wa kona na seti. Katika safu ya ulinzi, beki wa Serie A Italia Jordan Zemura (Udinese) ni hodari kushambulia na kusambaza pasi za hatari.
Ingia kwenye kasi ya kujishindia pesa kwenye michezo ya Kasino ya Mtandaoni kama vile, Keno, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Kuna wachezaji wengine kama Marvelous Nakamba anayeshambulia na Tawanda Maswanhise wa Motherwell Prince Dube anayependa kufunga kutoka pembeni. Walakini, wamekosa wachezaji muhimu kama Chirewa Tawanda kutokana na majeraha.
Kihistoria, timu hizi zimekutana mara tatu tangu 2021, na mechi zote tatu zimeisha kwa sare (yote 1-1). Hii inaonyesha kuwa Zimbabwe ni wagumu kwa Nigeria licha ya tofauti za viwango. Nigeria wanatarajiwa kutumia nguvu za kimwili na kukaba kwa nguvu katikati. Kwa upande mwingine, Zimbabwe watajitahidi kupunguza nafasi uwanjani (low block) na kutumia mashambulizi ya kukera kwa kuwatafuta Maswanhise kwa kasi.