Yanga SC vs Namungo FC kikosi kazi hiki hapa

KIKOSI cha Yanga SC kinashuka leo Uwanja wa KMC Complex kuvaana na Namungo FC katika mchezo wa NBC Premier League ikiwa ni mzunguko wa pili langoni ameanza Djigui Diarra.

Wachezaji wengine ni Yao Yao, Israel Mwenda, Bakari Nondo, Ibrahim Bacca, Damaro, Maxi Nzengeli, Duke Abuya, Prince Dube, Mudathir Yahya na Allan Okello.

Wachezaji wa akiba ni Hussen Masalanga, Kibwana Shomari, Frank Assink, Abdulnasir, Kouma, Sheikhan, Edmund, SureBoy, Ally na Depu.

Mchezo huu unatarajiwa kuanza saa 12:30 kwa wababe hawa kusaka pointi tatu muhimu ndani ya uwanja.

Imeandikwa na Lunyamadzo Mlyuka, Mtunzi kitabu cha Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo na Moyo Wangu Unavuja Damu.  Kuvipata TUNAOMBA ODA 0756 028 371.

Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo ni simulizi inayozungumzia maisha ya Kiafrika, usaliti, visa, furaha. Wakazi wa Njombe kitabu kinapatikana Mtaa wa Mpechi kwa Chris Jabari, Kigamboni kwa Tupokigwe, Posta karibu na Mnara wa Askari ukiwa unaelekea chuo cha IFM. Kuna kazi mpya inaandaliwa inaitwa Msichana wa Maisha Yangu, jiandae kuipata.