Yanga SC vs Namungo FC kikosi kazi hiki hapa
KIKOSI cha Yanga SC kinashuka leo Uwanja wa KMC Complex kuvaana na Namungo FC katika mchezo wa NBC Premier League ikiwa ni mzunguko wa pili langoni ameanza Djigui Diarra. Wachezaji wengine ni Yao Yao, Israel Mwenda, Bakari Nondo, Ibrahim Bacca, Damaro, Maxi Nzengeli, Duke Abuya, Prince Dube, Mudathir Yahya na Allan Okello. Wachezaji wa akiba…