Ratiba ya NBC Premier League Juni 30,2026

NBC Premier League funga kazi ni Juni 30,2026 ikiwa ni raudi ya 30 hii hapa ratiba ya mechi zote zipo namna hii:-

JKT Tanzania vs Yanga SC itarushwa Azam Sports 1 HD

Simba SC vs KMC FC itarushwa Azam Sports 2 HD

Coastal Union vs Pamba Jiji FC, Azam One

Fountain Gate vs Singida Black Stars, Azam TWO

Mbeya City vs TRA United, ZBC 2

Mashujaa FC vs Tanzania Prisons, Azam Sports 4

Azam FC vs Dodoma Jiji FC, Azam Sports 3

Namungo FC vs Mtibwa Sugar, UTV

Mechi zote kuchezwa saa 10:00 jioni na zitakuwa mubashara Azam TV

Imeandikwa na Lunyamadzo Mlyuka, Mtunzi kitabu cha Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo na Moyo Wangu Unavuja Damu.  Kuvipata TUNAOMBA ODA 0756 028 371.

Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo ni simulizi inayozungumzia maisha ya Kiafrika, usaliti, visa, furaha. Wakazi wa Njombe kitabu kinapatikana Mtaa wa Mpechi kwa Chris Jabari, Kigamboni kwa Tupokigwe, Posta karibu na Mnara wa Askari ukiwa unaelekea chuo cha IFM. Kuna kazi mpya inaandaliwa inaitwa Msichana wa Maisha Yangu, jiandae kuipata.