Ivory Coast vs Norway 32 bora FIFA Kombe la Dunia
Ivory Coast watacheza hatua ya mtoano ya Kombe la Dunia kwa mara ya kwanza katika historia yao watakapokutana na Norway katika mchezo wa hatua ya 32 Bora utakaochezwa Jumanne usiku nchini Texas. Ivory Coast wameonyesha kiwango kizuri tangu kuanza kwa mashindano haya, wakipata ushindi dhidi ya Ecuador na Curaçao. Walipoteza kwa mabao 2-1 dhidi ya…