Katika wiki mbili za mwanzo wa Julai, Meridianbet imeandika historia kubwa sana. Kupitia mchezo pendwa wa kupaisha kindege cha Aviator, rekodi kubwa imewekwa, yaani umekua mchezo namba moja uliovuta zaidi ya wachezaji 12,202 ndani ya siku 14, yaani tarehe 01 hadi 15, na wengi wao wakashinda kwa kishindo.
Aviator ni zaidi ya mchezo kwa wabashiri wote, hii ni safari ya kipekee. Kila ndege inapopaa, moyo unapiga kwa kasi, na kila sekunde ya mchezo inabadilika na kuwa ushindi. Ndani ya muda mfupi, marubani wote wanajikuta wakishinda dau kubwa, wakisherehekea ushindi wao kwa furaha isiyo na kifani huku wakiacha kumbukumbu kubwa.
Vilevile, meridianbet wana michezo mingi ya kasino mtandaoni na mechi za kimataifa za kubashiri zenye ushindani mkubwa wa odds. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi
Meridianbet imeendelea kujikita kwenye kuwa jukwaa la ushindi, na ukubwa wa uchezaji wa mchezo huu wa Aviator sasa ni alama ya msisimko kwa kila shabiki wa kasino mtandaoni. Ni mchezo unaovutia kila mtu, unaoleta pamoja mashabiki wa kasino na kuwapa nafasi ya kushinda.
Kwa takwimu hizi, ni wazi kuwa Aviator ni injini ya ushindi ya michezo ya kasino mtandaoni. Ni mchezo unaoleta matumaini, unaoandika hadithi mpya za bahati, na unaothibitisha kuwa Meridianbet ni nyumbani pa ushindi.