
KIUNGO SIMBA RAIA WA MALI KUIBUKIA MBELE YA GEITA GOLD
KIUNGO wa kazi ngumu ndani ya kikosi cha Simba,Sadio Kanoute raia wa Mali anatarajiwa kurejea kuikabili Geita Gold kwenye mchezo wa ligi. Nyota huyo alikosekana kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho dhidi ya Eagle FC uliochezwa Uwanja wa Mkapa kutokana na kutumikia adhabu ya kadi nyekundu aliyopata baada ya kuonyeshwa kadi mbili za njano mchezo…