Home Uncategorized VIDEO:SABABU ZA CEO BARBARA KUBWAGA MANYANGA/SIMBA KUTIKISIKA

VIDEO:SABABU ZA CEO BARBARA KUBWAGA MANYANGA/SIMBA KUTIKISIKA

UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa umefurahia kupata ushindi wa mabao 8-0 dhidi ya Eagle kwenye mchezo wa hatua ya raundi ya Pili Kombe la Azam Sports Federation ikiwa ni mwanzo wa maandalizi ya hatua inayofuata.

Ahmed Ally, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano ndani ya Simba amweka wazi kuwa ni kweli Mtendaji wa Simba, Barbra Gonzale ameandika barua ya kujiuzulu na sababu amezitaja ikiwa ni moja ya taarifa ya kuumiza na kushtua na taasisi inaweza kutikisika kidogo

Previous articleVIDEO:MASHABIKI YANGA WAGOMEA SIMBA KUMSAJILI MANZOKI
Next articleSAFARI YA ENGLAND IMEGOTA MWISHO, UFARANSA WAMO