YANGA YAFUNGA MWAKA NA POINTI TATU ZA MANUNGU
MCHEZO wa Ligi Kuu Bara kati ya Mtibwa Sugar na Yanga uligotea dakika 26 baada ya mabingwa hao watetezi wa ligi kuwatibulia mipango mapema wapinzani wao. Ni bao la Aziz KI dakika ya 26 la kipindi cha kwanza limedumu mpaka dakika 90 za mwamuzi kukamilisha mchezo huo. Pigo la faulo iliyoonekana kutokuwa na hatari ilimduwaza…