Cristiano Ronaldo na Kane Watazamwa Zaidi Katika Michezo ya Leo

Tengeneza mkwanja mkubwa leo kwa dau dogo tuu ukibashiri mechi zako na Meridianbet. Ikumbukwe kuwa ndio kwanza michuano hii mikubwa Duniani ndio imepamba moto. Usingoje kupitwa na Odds kubwa sasa.

Pesa ipo kwenye mechi ya Ureno vs Uzbekistan ambapo vijana wa Roberto Martinez wanaingia uwanjani kusaka ushindi wao wa kwanza kwenye michuano hii baada ya kutoa sare dhidi ya Congo mechi iliyopita ya ufunguzi.

Ureno wanahitaji ushindi kwa hali na mali kwani maneno yalikuwa mengi baada ya kutoa sare kwani hili ni moja ya Taifa ambalo lipo kwenye zile timu 6 zinazowaniwa kushinda taji hili kutokana na ubora wa wachezaji. Pia ni timu ambayo inasifika kuwa na viungo bora zaidi kama vile Bruno, Vitinha, Joao Neves.

Kwa upande wa Uzbekistan wao walianza mechi yao ya ufunguzi kwa kupoteza dhidi ya Colombia tena kwa mabao 3, hivyo pia kwenye mechi hii ya pili inahitaji ushindi ili kujiweka sehemu nzuri kwenye matumani ya kufuzu kwenye hatua ya 32 bora.

Piga pesa leo kwenye michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile Keno, Aviator, Poker, Roullette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.

Takwimu zinaonesha kuwa kwenye viwango vya FIFA, Ureno ipo nafasi ya 5 huku wageni wao wakiwa nafasi ya 50. Cristiano Ronaldo na wenzake kushinda mechi hii kutawarejeshea morali ya kuendelea kufanya vizuri mechi zijazo. Lakini baadhi ya mashabiki kutoka asehemu mbalimbali Duniani kote wanaamini kuwa endapo vijana hao wa Ureno wakiacha ubinafsi na kucheza kitimu huenda wakafanya vyema zaidi.

Meridianbet wanampa Ureno nafasi kubwa ya kushinda kwenye mechi hii ya leo kutokana na tofauti kubwa ya vikosi iliyopo. Je wewe nafasi ya kuondoka na pointi 3 unampa nani?. Tandika jamvi hapa.

Watu wengi watakuwa wakingoja mechi hii ya Uingereza vs Ghana kutoka Afrika ambayo kwenye mechi ya kwanza waliondoka na ushindi mwembamba kupitia kwa mchezaji wao Yirenkyi anayekipiga kule Nordsjaelland.

Uingereza chini ya kocha mkuu Thomas Tuchel baada ya kuanza kampeni hii kwa kishindo kikubwa, sasa kinaingia kwenye mchezo huu kwa morali ya hali ya juu zaidi wakiwa na wachezaji wenye ubora mkubwa zaidi kwenye michuano hii wakiwa na uwezo wa kutengeneza nafasi nyingi pia.

Je unajua kuwa ushindani wa hali ya juu kabisa upo kwenye mechi hii?. Na hii ni kutokana na mechi chache ambazo tumeshuhudia kwenye michuano hii kutoka Afrika zimekuwa na ushindani mkubwa zaidi kulinganisha na zamani. Na kikubwa ambacho kinazibabe hizi timu ndogo zinapokutana na kubwa ni kuwa na nidhamu nzuri ya ulinzi huku wakishambulia kwa kushtukiza.

Uingereza ni moja ya Taifa ambalo pia lipo kwenye timu zinazopewa nafasi ya kufika mbali kwenye michuano hii kwani wana wachezaji wenye uwezo wakiongozwa na Harry Kane, Bellingham, Saka, na wengine wengi. Lakini pia kikosi hiki chini ya Thomas Tuchel kimezidi kuwa na makali zaidi.

Vijana wa Mfalme wanapewa nafasi kubwa ya kushinda mechi hii, lakini lolote linaweza kutokea kwani kuna matokeo ya kushangaza mabayo yametokea kwenye mechi kadhaa na hii inaonesha kuwa timu zimejipanga. Meridianbet inakwambia kuwa machaguo zaidi ya 1000 yapo kwenye mechi hii. Jisajili hapa.