US MONASTIR 2-0 YANGA KIMATAIFA
DAKIKA 45 za mwanzo zimemeguka ambapo ubao unasoma US Monastir 2-0 Yanga wawakilishi kutoka Tanzania kwenye Kombe la Shirikisho Afrika. Ni Mohamed Saghroui dakika ya 10 na Boubacar Traore ilikuwa dakika ya 15. Djigui Diarra anatimiza majukumu yake akiwa ameokoa hatari moja iliyokuwa ni nafasi ya wazi kwa wapinzani wao kufunga ilikuwa dakika ya 12….