YANGA KUONGEZA HALI YA KUJIAMINI KWA KMC
KOCHA Mkuu wa KMC, Hitimana Thiery amesema kuwa watapambana kupata matokeo mazuri dhidi ya Yanga ili kurejesha hali ya kujiamini kwa wachezaji wake. Timu hiyo ilitoka kupoteza mchezo wake uliopita dhidi ya Ruvu Shooting kwa kufungwa mabao 2-1 Uwanja wa Jamhuri, Morogoro. Katika mchezo huo waliokuwa ugenini KMC ilikwama kufurukuta mbele ya Ruvu Shooting wazee…