Home Uncategorized FEISAL NYOTA WA YANGA APATA AJALI

FEISAL NYOTA WA YANGA APATA AJALI

IMEELEZWA nyota wa Yanga Feisal Salum amepata ajali lakini yupo salama huko visiwani Zanzibar baada ya kugongana na bodaboda.

Nyota huyo kwa sasa yupo Zanzibar baada ya kuwa kwenye sakata la mvutano na mabosi wake wa Yanga.

Yanga wao wanahitaji mchezaji arejee ndani ya kikosi hicho kwa kuwa bado ana mkataba huku mchezaji akihitaji kuondoka.

Previous articleAZAM FC KUSHUKA UWANJANI NA MABINGWA
Next articleMALENGO YA SIMBA KIMATAIFA YAPO HIVI