AZAM FC YASHUSHA MTAMBO MWINGINE WA KAZI
MATAJIRI wa Dar Azam FC rasmi Desemba 31 wametangaza kufikia makubaliano na Klabu ya El Marreikh kwa ajili ya kumsajili kipa wao wa kimataifa wa Sudan, Mohamed Mustafa. Kipa huyo amepewa dili la mkataba wa miezi sita ambapo atakuwa kwenye viunga vya Azam Complex kwa mkopo. Kipa huyo anatarajiwa kuwa kwenye majukumu yake katika kikosi…