YANGA WALIWAKIMBIZA REAL BAMAKO KWA MKAPA
UKIWEKA kando Yanga kusepa na pointi tatu mazima dhidi ya Real Bamako walitawala katika kila Idara huku wakicheza Kwa tahadhari licha ya kuwa wapo nyumbani. Mashuti waliyopiga ni 12 huku manne yakilenga lango na mawili yàkizama nyavuni watupiaji wakiwa ni Fiston Mayele dakika ya 8 na Jesus Moloko dakika ya 68. Bamako ni mashuti 11…