Home Uncategorized SIMBA 1-0 VIPERS

SIMBA 1-0 VIPERS

UWANJA wa Mkapa ikiwa ni Jumanne ya Wenye Nchi wanaongoza ndani ya dakika 45 za mwanzo.

Ni bao la Clatous Chama ambalo limefungwa dakika ya 45 na kufanya ubao kusoma Simba 1-0 Vipers.

Ugonjwa wa Simba kwenye umaliziaji hasa eneo la mwisho kwenye mechi za kimataifa bado haujapata tiba kutokana na nafasi nyingi za wazi kuwapa wakati mgumu.

Saido Ntibanzokiza na Pape Sakho ni miongoni mwa nyota amao wamekwama kujaza mabao kimiani ndani ya dakika 45 za mwanzo.

Vipers sio wanyonge kwa kuwa wanashambulia na kujilinda kwa wakati mmoja wakiwa ugenini.

Previous articleVIDEO:ULIKOSA KUMUONA FEI TOTO AKITINGA TFF? HUYU HAPA
Next articleCHUMA CHA KAZI NDANI YA AZAM FC