
DHAHABU IMEANZA KUPATA MOTO, KAZI IPO JUMANNE
KILE chumba cha mafanikio kilichokuwa kina giza totoro mwanzo mwisho angalau sasa mwanga umeanza kupenya huku ile dhahabu ikianza kupata moto. Ni wawakilishi wa Tanzania kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika walifanikiwa kupata ushindi ugenini baada ya ubao kusoma Vipers 0-1 Simba, Februari 25,2023 Uwanja wa St Mary’s, hapa tunakuletea kazi ilivyokuwa namna hii:- Aishi Manula…