Home Uncategorized AZAM FC KUKIPIGA NA AL HILAL AZAM COMPLEX

AZAM FC KUKIPIGA NA AL HILAL AZAM COMPLEX

AZAM FC inayonolewa na Kaimu Kocha Mkuu, Kali Ongala, ina kibarua cha kucheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Al Hila.

Mchezo huo wa kimataufa unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Azam Complex.

Timu hiyo kwa sasa imeweka kambi Dar kwa ajili ya maandalizi ya mechi zake za kimataifa.

Mbali na Azam FC pia Al Hilal itacheza na Simba pamoja na Namungo mechi za kirafiki za kimataifa.

Previous articleYANGA 5-0 RHINO RANGERS
Next articleYANGA YAICHAPA RHINO KIFURUSHI CHA WIKI