SIMBA WAANZA KUIVUTIA KASI RED ARROWS
KIKOSI cha Simba kwa sasa kipo nchini Zambia ambapo kimewasili jana Desemba 3 kwa ajili ya maandalizi ya mwisho ya mchezo wa Kombe la Shirikisho dhidi ya Red Arrows. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa kesho, Desemba 5 ambapo utakuwa ni wa marudio baada ya ule wa awali uliochezwa Uwanja wa Mkapa Simba kushinda mabao 3-0. Kitu…