AZAM YAZITAKA POINTI TATU ZA KAGERA SUGAR
UONGOZI wa Azam FC umeweka wazi kuwa kwa sasa hesabu zao kubwa ni kuelekea katika mchezo wao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Kagera Sugar. Azam FC inayonolewa na Kocha Mkuu, George Lwandamina inatarajiwa kumenyana na Kagera Sugar, Desemba 12. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Azam Complex saa 1:00 usiku na utakuwa mubashara Azam…