KAGERE ATIMIZA SIKU KIBAO BILA KUCHEKA NA NYAVU KWENYE LIGI
MEDDIE Kagere mshambuliaji namba moja kwa kutupia ndani ya Simba kwa msimu wa 2021/22 ndani ya ligi akiwa ametupia mabao manne na pasi moja ameyeyusha dakika 414 bila kufunga. Novemba 19,2021 ilikuwa Uwanja wa CCM Kirumba na Simba iliweza kushinda mabao 3-1 na kusepa na pointi tatu mazima. Leo, Kagere anatimiza siku ya 74 bila…