DODOMA JIJI YASONGA MBELE YAITWANGA PAN AFRICAN 2-0
DODOMA Jiji FC inayonolewa na Kocha Mkuu, Mbwana Makata leo Desemba 14 imeibuka na ushindi kwenye mchezo wao wa Kombe la Shirikisho. Ilikuwa ni raundi ya tatu ambapo wameweza kushinda mabao 2-0 dhidi ya Pan African ambapo dakika 45 za mwanzo ngoma ilikuwa ni sare kwa timu zote mbili. Mchezo huo umechezwa leo Desemba 14,…