MCHONGO UPO NDANI YA WILD ICY FRUITS

Reels zinazozidisha ushindi mara 2.000!

Wild Icy Fruits ni mchezo rahisi unaopatikana kwenye sloti ya mtandaoni, una reels 5, safu 4 na mistari 40 ya malipo. Muonekano wa sehemu zilizoganda ukikinzana na milima iliyofunikwa kwa barafu, inakamilisha mandhari ya baridi.

Matikiti na machungwa yanaongeza utamu wa mchezo, kengele za dhahabu na mgando wa lucky 7 – unatoa malipo makubwa yanayowezekana kwa alama 5 zilizopo kwenye mstari mmoja. Kwa mara nyingi, upekee wa Expanse unaonekana kwenye mchezo huu ambao unakuja ukiwa na scatters na wilds.

Alama 5 za wilds kwenye mchanganyiko wa ushindi, utakuongezea mara 25 ya dau lako, wakati scatter 5 zikiangukia sehemu yeyote ya reels, itakuongezea mara 500 ya dau lako.

 

Uwanda wa kubashiri, unawafaa wachezaji wa kila aina, inaanzia chini zaidi kwa koini 4 kwa mzunguko na kuongezeka mpaka koini 50 kwa kila mstari au 2.000 kwa mzunguko.

Sifa za kipekee zaidi Kwenye Mchezo.

Kwa kuongezea kwenye kuwa miongoni mwa alama inayolipa zaidi mezani, Wilds zitawasaidia wachezaji wakati wakiwa mchezoni kwa kuochukua nafasi ya alama zingine za kawaida. Kimsingi, haziwezi kuchukua nafasi ya scatters.

 

Kwa kuzingatia kua mchezo hauongezi mizunguko ya bure, scatters zitatoa malipo bila kujali nafasi zake kwenye mchezo. Lakini, Expanse Studios hawajatuandalia hayo tu!

 

Wakati unazungusha reels, kunauwezekano wa kushinda jakipoti 1 kati ya 3 zilizopoMini, Midi na Mega. Zawadi za jakipoti hazinamuendelezo, inamaana kuwa, hazitategemea hatua yako ya kubashiri. Inavutia!

 

Expanse Studio Wamefanya Tena!

 

Baada ya kutoa bidhaa bora mitandaoni kwa muda mrefu kama vile Titan Roulette Deluxe, Casino Heist na Fairy in Wonderland, Expanse Studios hawaachi kuwashangaza wachezaji ulimwenguni kote kwa uwezo mkubwa wa ubunifu.

 

Ni uhalisia kuwa, wameweza kuleta mchezo mrahisi ambao, muonekano wake ni sehemu kubwa ya kubashiri pamoja na sifa ya bonus za kuvutia ambazo zitakupeleka kwenye zawadi na jakipoti kubwa.

 

 

Meridianbet, Nyumba Yenye Odds Bora na Bonasi Kubwa!