DAKIKA 90,YANGA YASHINDA MABAO 4-0 DODOMA JIJI
YANGA imeshinda mabao 4-0 dhidi ya Dodoma Jiji kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Uwanja wa Mkapa. Huu ni mchezo wa kufunga mwaka 2021 ambapo Yanga imefunga kwa aina yake kwa kupata ushindi mkubwa wa mabao zaidi matatu. Yanga walikwenda mapumziko wakiwa wanaongoza kwa bao 1-0 ambalo lilifungwa na Fiston Mayele dakika ya 41….