>

VIDEO:DOZI YA PABLO KWA WAWA,KAGERE,MUGALU IPO HIVI

NYOTA wa Simba chini ya Kocha Mkuu Pablo Franco wanaendelea na mazoezi kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Azam FC unaoatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa, Januari Mosi 2022.
Miongoni mwa wachezaji ambao wanapewa dozi na Pablo ni pamoja na beki Pascal Wawa, Henock Inonga, Jonas Mkude, Meddie Kagere na Chris Mugalu.