Sunday, April 28, 2024
Home Tags Azam FC

Tag: Azam FC

YANGA HAWANA JAMBO DOGO WAWAPIGIA HESABU WAARABU

0
UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa kuelekea mchezo wao wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Yanga utakuwa ni maalumu kwa ajili ya kusaka...

SIMBA KUSHUSHA MKATA UMEME WA KAZI

0
UONGOZI wa Simba umebainisha kuwa kwenye mpango wa usajili utaongeza mkata umeme wa kazi mithili ya Fabrince Ngoma ili kuongeza uimara kwenye timu hiyo. Ipo...

KISINDA ATAJA SABABU ZA KUREJEA NDANI YA YANGA

0
TUISILA Kisinda kiungo wa Yanga ameweka wazi kuwa amereja kwa mara nyingine kufanya kazi ndani ya kikosi hicho kinachonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi. Winga...

MZUNGU WA SIMBA USAJILI WAKE WAWAPA JEURI YA KUTWAA MATAJI

0
BAADA ya uongozi wa Simba kukamilisha usajili wa straika Mserbia, Dejan Georgijevic, mwenyekiti wa zamani wa klabu hiyo, Ismail Rage, amefunguka kuwa, msimu huu...

AJIBU KUIKOSA SIMBA LEO KWA MKAPA

0
KIUNGO Ibrahim Ajibu ambaye ni ingizo jipya ndani ya Azam FC kuna uwezekano asianze kikosi cha kwanza kwenye mchezo wa leo dhidi ya Simba...

NAMUNGO FC YAMPATA MRITHI WA MOROCCO

0
KLABU ya Namungo FC inayoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara imetangaza benchi jipya la ufundi ambalo litainoa timu hiyo kwa msimu wa 2021/22. Hiyo ni baada...

VIDEO:KOCHA SIMBA:AZAM FC INA WACHEZAJI WAZURI

0
PABLO Franco, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa Azam FC ni moja ya timu imara na ina wachezaji wazuri hivyo kuelekea kwenye mchezo wao...

MAYELE NA KAGERE WAPO KWENYE VITA YAO

0
WASHAMBULIAJI wawili ndani ya timu zenye maskani yake pale Kariakoo Yanga na Simba wapo kwenye vita nzito ya kutafuta ufalme wa kutupia mabao kutokana...

JEMBE JIPYA YANGA KUANZA KAZI LEO

0
ABOUTWALIB Mshery ingizo jipya ndani ya Yanga linatarajiwa kuweza kuanza kazi leo Desemba 31 katika mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Dodoma Jiji. Mshery...

VIDEO:DOZI YA PABLO KWA WAWA,KAGERE,MUGALU IPO HIVI

0
NYOTA wa Simba chini ya Kocha Mkuu Pablo Franco wanaendelea na mazoezi kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Azam FC...

AJIBU APIGA HESABU NDEFU

0
BAADA ya kusaini dili la mwaka mmoja ndani ya kikosi cha Azam FC kiungo mshambuliaji Ibrahim Ajibu amepiga hesabu ndefu za kufanya vizuri kwa...

VIDEO:BEKI YANGA:HAKUNA KAMA OKWI

0
BEKI wa zamani wa kikosi cha Yanga, Nadir Haroub, 'Canavaro' ameweka wazi kuwa kwa zama ambazo alikuwa akicheza yeye mpira wa ushindani bado hajaona...

VIDEO:MWINYI ZAHERA AMPA SIFA MAKAMBO,HAHITAJI NAFASI NYINGI

0
MWINYI Zahera, Mkurugenzi wa Benchi la Ufundi kwenye timu za Vijana ndani ya kikosi cha Yanga ameweka wazi kuwa mshambuliaji Heritier Makambo hahitaji nafasi...

SAKHO NA JIMMYSON VIWANGO VYAO VYACHAMBULIWA NA KOCHA WAO

0
SELEMAN Matola,Kocha Msaidizi wa Simba ameweka wazi kuwa  viwango vya wachezaji wa timu hiyo ikiwa ni pamoja na  Pape Sakho na Jimmyson Mwanuke vinazidi...

IHEFU WATAJA WALIPOELEKEZA NGUVU ZAO

0
ZUBER Katwila, Kocha Mkuu wa Ihefu FC amesema kuwa alikuwa anawalinda wachezaji wake ili wasiweze kuumia kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho dhidi ya...

HUYU HAPA ATAJWA KUWA RADA ZA YANGA

0
IMEELEZWA kuwa mabosi wa Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu,Nasreddine Nabi wapo kwenye hesabu za kumsaka winga wa kazi ili awe ndani ya kikosi hicho. Yanga...

WACHEZAJI WA AZAM FC WAREJEA KAMBINI TAYARI KWA KAZI

0
WACHEZAJI wa Azam FC inayonolewa na Kocha Mkuu, George Lwandamina  ambao walikuwa kwenye timu ya taifa ya Tanzania,Taifa Stars tayari wamejiunga na wengine kambini.Ilikuwa...