Home Sports VIDEO:MWINYI ZAHERA AMPA SIFA MAKAMBO,HAHITAJI NAFASI NYINGI

VIDEO:MWINYI ZAHERA AMPA SIFA MAKAMBO,HAHITAJI NAFASI NYINGI

MWINYI Zahera, Mkurugenzi wa Benchi la Ufundi kwenye timu za Vijana ndani ya kikosi cha Yanga ameweka wazi kuwa mshambuliaji Heritier Makambo hahitaji nafasi nyingi ili aweze kufunga.

Desemba 15,Uwanja wa Mkapa Makambo alitupia mabao matatu kwenye ushindi wa mabao manne dhidi ya Ihefu FC mchezo wa Kombe la Shirikisho na bao moja lilifungwa na Khalid Aucho.

Previous articleMSHINDI WA SPORTPESA KUTOKA MOROGORO ASHINDA MKWANJA MREFU
Next articleVIDEO:BEKI YANGA:HAKUNA KAMA OKWI