>

VIDEO:BEKI YANGA:HAKUNA KAMA OKWI

BEKI wa zamani wa kikosi cha Yanga, Nadir Haroub, ‘Canavaro’ ameweka wazi kuwa kwa zama ambazo alikuwa akicheza yeye mpira wa ushindani bado hajaona ambaye ameweza kumfikia nyota wa zamani wa Simba Emanuel Okwi.

Canavaro amebainisha kwamba hawezi kusema maneno mengi zaidi ya kusema kwamba hakuna kama Okwi.