Shabiki wa maarufu wa Simba Pasi Milioni amefunguka kupitia Global Tv na kueleza kuwa, Eto’oo hajabahatisha kuwapa Lionel Ateba kwani anatekeleza jambo lilomleta nchini.
PASI MILIONI – ”TUMEMLETA ATEBA ILI AFUNGE – ETO’O HAKUKOSEA KUTUPA – KIBU MTAMU”…
