MSHINDI WA SPORTPESA KUTOKA MOROGORO ASHINDA MKWANJA MREFU

MKAZI wa Morogoro amefanikiwa kuibuka mshindi wa mkwanja mrefu baada ya kufanikiwa kubashiri kwa usahihi mechi 12 kati ya 13 kweye Jacpot ya wiki iliyopita,

Mshindi wa SportPesa Jackpot bonus pichani ni Kassim Said Liuzilo mwenye miaka 52, ambaye ni kutoka Kilombero, Morogoro.

Liuzilo ameshikilia mfano wa hundi ya shilingi 10,534,628 baada ya kubashiri kwa usahihi mechi 12 kati ya 13 kwenye Jackpot ya wiki iliyopita. Jackpot inayoshindaniwa wiki hii ni 783,781,040/-