Sunday, April 28, 2024
Home Tags Yanga

Tag: Yanga

SIMBA KUSHUSHA MKATA UMEME WA KAZI

0
UONGOZI wa Simba umebainisha kuwa kwenye mpango wa usajili utaongeza mkata umeme wa kazi mithili ya Fabrince Ngoma ili kuongeza uimara kwenye timu hiyo. Ipo...

MZUNGU WA SIMBA USAJILI WAKE WAWAPA JEURI YA KUTWAA MATAJI

0
BAADA ya uongozi wa Simba kukamilisha usajili wa straika Mserbia, Dejan Georgijevic, mwenyekiti wa zamani wa klabu hiyo, Ismail Rage, amefunguka kuwa, msimu huu...

VIDEO:KOCHA SIMBA:AZAM FC INA WACHEZAJI WAZURI

0
PABLO Franco, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa Azam FC ni moja ya timu imara na ina wachezaji wazuri hivyo kuelekea kwenye mchezo wao...

MAYELE NA KAGERE WAPO KWENYE VITA YAO

0
WASHAMBULIAJI wawili ndani ya timu zenye maskani yake pale Kariakoo Yanga na Simba wapo kwenye vita nzito ya kutafuta ufalme wa kutupia mabao kutokana...

JEMBE JIPYA YANGA KUANZA KAZI LEO

0
ABOUTWALIB Mshery ingizo jipya ndani ya Yanga linatarajiwa kuweza kuanza kazi leo Desemba 31 katika mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Dodoma Jiji. Mshery...

AJIBU APIGA HESABU NDEFU

0
BAADA ya kusaini dili la mwaka mmoja ndani ya kikosi cha Azam FC kiungo mshambuliaji Ibrahim Ajibu amepiga hesabu ndefu za kufanya vizuri kwa...

NYOTA WA SIMBA NA YANGA WAANZA KAZI GEITA GOLD

0
KOCHA Mkuu wa Geita Gold  Fredy Felix Minziro, leo Desemba 17 ameanza kuwatumia wachezaji wake wapya katika kikosi chake kwa ajili ya kusaka pointi...

MASTAA YANGA WAPIGWA MKWARA NA MTUNISSIA

0
NASREDDINE Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga ameweka wazi kwamba hakuna mchezaji mkubwa ndani ya kikosi cha Yanga kwa kuwa Yanga ni kubwa kuliko yoyote. Kocha...

VIDEO:MWINYI ZAHERA AMPA SIFA MAKAMBO,HAHITAJI NAFASI NYINGI

0
MWINYI Zahera, Mkurugenzi wa Benchi la Ufundi kwenye timu za Vijana ndani ya kikosi cha Yanga ameweka wazi kuwa mshambuliaji Heritier Makambo hahitaji nafasi...

MSHINDI WA SPORTPESA KUTOKA MOROGORO ASHINDA MKWANJA MREFU

0
MKAZI wa Morogoro amefanikiwa kuibuka mshindi wa mkwanja mrefu baada ya kufanikiwa kubashiri kwa usahihi mechi 12 kati ya 13 kweye Jacpot ya wiki...

SAKHO NA JIMMYSON VIWANGO VYAO VYACHAMBULIWA NA KOCHA WAO

0
SELEMAN Matola,Kocha Msaidizi wa Simba ameweka wazi kuwa  viwango vya wachezaji wa timu hiyo ikiwa ni pamoja na  Pape Sakho na Jimmyson Mwanuke vinazidi...

IHEFU WATAJA WALIPOELEKEZA NGUVU ZAO

0
ZUBER Katwila, Kocha Mkuu wa Ihefu FC amesema kuwa alikuwa anawalinda wachezaji wake ili wasiweze kuumia kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho dhidi ya...

HUYU HAPA ATAJWA KUWA RADA ZA YANGA

0
IMEELEZWA kuwa mabosi wa Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu,Nasreddine Nabi wapo kwenye hesabu za kumsaka winga wa kazi ili awe ndani ya kikosi hicho. Yanga...

YANGA KUWAFUATA NAMUNGO LEO

0
VINARA wa Ligi Kuu Tanzania Bara leo Jumatano, Novemba 17 wanatarajia kusepa Dar kuelekea Lindi kwa ajili ya mchezo wao wa Ligi Kuu Bara...