Sunday, April 28, 2024
Home Tags Meddie Kagere

Tag: Meddie Kagere

YANGA HAWANA JAMBO DOGO WAWAPIGIA HESABU WAARABU

0
UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa kuelekea mchezo wao wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Yanga utakuwa ni maalumu kwa ajili ya kusaka...

KMC YAPOTEZA KWA MARA NYINGINE TENA

0
IKIWA ugenini leo Februari 25 imepoteza kwa mara nyingine tena ukiwa ni mchezo wa ligi. Baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja wa Azam Complex...

MZUNGU WA SIMBA USAJILI WAKE WAWAPA JEURI YA KUTWAA MATAJI

0
BAADA ya uongozi wa Simba kukamilisha usajili wa straika Mserbia, Dejan Georgijevic, mwenyekiti wa zamani wa klabu hiyo, Ismail Rage, amefunguka kuwa, msimu huu...

MAYELE NA KAGERE WAPO KWENYE VITA YAO

0
WASHAMBULIAJI wawili ndani ya timu zenye maskani yake pale Kariakoo Yanga na Simba wapo kwenye vita nzito ya kutafuta ufalme wa kutupia mabao kutokana...

VIDEO:DOZI YA PABLO KWA WAWA,KAGERE,MUGALU IPO HIVI

0
NYOTA wa Simba chini ya Kocha Mkuu Pablo Franco wanaendelea na mazoezi kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Azam FC...

AJIBU APIGA HESABU NDEFU

0
BAADA ya kusaini dili la mwaka mmoja ndani ya kikosi cha Azam FC kiungo mshambuliaji Ibrahim Ajibu amepiga hesabu ndefu za kufanya vizuri kwa...

BARAZA:TUPO TAYARI KUIKABILI SIMBA

0
FRANCIS Baraza, Kocha Mkuu wa Kagera Sugar ameweka wazi kuwa wapo tayari kwa ajili ya mchezo wao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Simba...

VIDEO:MWINYI ZAHERA AMPA SIFA MAKAMBO,HAHITAJI NAFASI NYINGI

0
MWINYI Zahera, Mkurugenzi wa Benchi la Ufundi kwenye timu za Vijana ndani ya kikosi cha Yanga ameweka wazi kuwa mshambuliaji Heritier Makambo hahitaji nafasi...

SAKHO NA JIMMYSON VIWANGO VYAO VYACHAMBULIWA NA KOCHA WAO

0
SELEMAN Matola,Kocha Msaidizi wa Simba ameweka wazi kuwa  viwango vya wachezaji wa timu hiyo ikiwa ni pamoja na  Pape Sakho na Jimmyson Mwanuke vinazidi...