Arsenal vs Man City, Arteta na Maresca Kitawaka, PSG Kuendeleza Ubabe Dhidi ya Lens leo

Mechi nyingi za ufunguzi wa Ligi mbalimbali zitaenda kupigwa katika viwanja mbalimbali. Na Meridiabet wanasema hivi huu ndio msimu wa wewe kuondoka na utajiri wako. Unasubiri nini?. Ingia kwenye akaunti yako na ubashiri.

Mashabiki wengi Duniani wanaenda kushuhudia mtanange wa Ngao ya Jamii kati ya Arsenal dhidi ya Manchester City ambao walimaliza msimu wakishika nafasi ya pili huku vijana wa Arteta wao wakichukua Kombe hilo la EPL baada ya kusubiri kwa takribani miaka 23.

Inatarajiwa kuwa mechi nzuri na ya kuvutia haswa kwani taji hili linatakiwa na timu zote, lakini ikumbukwe kuwa Arsenal ndio mabingwa hao watetezi wa ligi na wanataka kuuthibitishia Ulimwengu kuwa haikuwa bahati kwao kubebea ndoo ya ligi bali uwezo na ubora ambao wachezaji walionesha ndio chanzo cha mafanikio yao.

Huku kwa Manchester City wao baada ya kuondoka kwa kocha wao wa muda mrefu ambaye aliwapa mafanikio Pep Guardiola, na sasa timu ipo chini ya kocha mkuu Enzo Maresca wanataka kuonesha pia ubora wao hivyo Community Shield itakuwa mtihani muhimu wa kwanza wa ushindani kwa kocha huyo mpya wa klabu hiyo. Jisajili hapa.

Vilevile Meridianbet inakwambia tengeneza mkwanja kupitia michezo ya Kasino ya Mtandaoni kama vile, Keno, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.

Kama wewe ni mwanasoka basi unafahamu kuwa timu ya Arsenal kamatimu ambayo inapenda kucheza mpira wa kujilinda zaidi huku wakipewa sapoti nzuri na wachezaji ambao wanao kama vile Mosquera, Gabriel Malgahaes, Saliba, David Raya kwenye eneo la ulianzi lakini pi ani timu ambayo imekuwa ikitumia vyema kabisa mipira iliyokufa, kama vile kona na free kick hivyo City inabidi wawe makini zaidi. Pia Arsenal  imeongeza wachezaji akama vile Guimaraes, Illan Meslier waje kuongeza ngu klabuni.

City wao wanapenda kushambulia zaidi kutokana na uwepo wa wachezaji wenye kasi kama vile Erling Haaland ambaye ni mfungaji bora wa EPL, Jeremy Doku, Foden na wachezaji wengine kama vile Cherki hivyo ambaye aatatumia nafasi zake vizuri huenda akaweza kuibuka na taji hili.

Je nani anaweza akaondoka na ushindi wa Ngao ya Jamii?. Odds kubwa zipo hapa ingia na ubeti sasa.

Siku hiyo hiyo ubize utaendelea kutawala kwenye soka kwani kule Ufaransa kutakuwa na mchezo mkali wa Trophee des Champions  kati ya RC Lens dhidi ya PSG ambao ni mabingwa wa ligi kuu ya Ufaransa LIGUE 1, timu hii imeendeleza ubabe wake wa kutawala ligi hiyo wakiwa na wachezaji wenye ubora wa hali ya juu kabisa ukilinganisha na mpinzani wao.

Paris chini ya kocha mkuu Luis Enrique wamekuwa na ubora wa hali ya juu huku wakimaliza msimu kwa kubeba taji la Ligi ya Mabingwa Ulaya (UEFA), lakini pia wameweza kuchukua taji la UEFA SUPER CUP dhidi ya Aston Villa na hii ni kuthibitisha kuwa ni timu yenye uwezo wa hali ya juu.

Wakati Lens wao ni timu ya daraja la kati kwani ilimaliza msimu bila kuchukua taji lolote, lakini iliweza kumaliza nafasi ya 2 kwenye ligi baada ya kuweza kujikusanyia pointi zao 70, lakini takwimu zinaonesha kuwa mechi mbili walizokutana na Paris waliweza kupoteza zote kwenye ligi bila hata kuweza kupachika bao lolote.

Je taji hili linaenda kwa nani?. Meridianbet wanampa nafasi kubwa ya kuondoka na ushindi PSG kutokana na ubora wa wachezaji kama vile Kvaratskhelia, Dembele, Doue na wengine wengi ambao kwa pamoja wanaifanya timu hiyo iweze kufanya vyema kabisa. Bashiri hapa sasa.