DAKIKA 45, YANGA 1-0 DODOMA JIJI

UWANJA wa Mkapa, Desemba 31, mchezo wa Ligi Kuu Bara dakika 45 zimekamilika ubao unasoma Yanga 1-0Dodoma Jiji.

Mtupiaji wa bao ni Fiston Mayele ambaye amepachika bao hilo akiwa ndani ya 18.

Ilikuwa ni dakika ya 41 bao hilo ameweza kulioachika kwenye mchezo wa leo ambao umekuwa na ushindani mkubwa.

Yanga wameweza kumiliki mpira kwa asilimia 80 huku Dodoma Jiji ikiwa na asilimia 20 ndani ya dakika 45 za mwanzo.