Baadhi ya ligi kuendelea wiki hii. Bundesliga na EPL ndio kumenoga zaidi. Miamba kadhaa kushuka viwanjani kuchuana ndani ya dakika 90. Mambo yapo hivi;
Jumanne hii, Dean Smith ataiongoza Norwich City dhidi ya Aston Villa. Smith anawakaribisha Villa ambao ni vijana wake aliowafundisha kwa muda mrefu kabla ya kutimuliwa Villa Park. Aston Villa hii ya Steven Gerrard sio aliyoiacha Smith. Lakini, Norwich ya Smith pia, sio aliyoiacha Daniel Farke – mambo yamebadilika. Odds ya 2.35 ipo kwa Villa kupitia Meridianbet.
Kwenye Bundesliga, VfB Stuttgart watawaalika vinara wa ligi hiyo, Bayern Munichen. Kwa siku za hivi karibuni, Bayern wamekuwa wakiruhusu nyavu zao kutingishwa, itakua hivyo na leo? Shujaa wako ni nani kwenye mtanange huu? Meridianbet tumekuwekea Odds ya 1.27 kwa Bayern.
Kule jijini London, Emirate Stadium itasimamia mchongo wa London Derby. Ni Arsenal vs West Ham United. The Gunners wapo kwenye kiwango thabiti lakini, The Hammers pia wapo kwenye ubora mkubwa msimu huu. Arteta vs Moyes – nani ni nani? Ifuate Odds ya 2.20 kwa Arsenal ukiwa na Meridianbet.
Augsburg watawaalika RB Leipzig katika muendelezo wa Bundesliga Jumatano hii. Timu zote zinahitaji pointi 3 muhimu kwao. Uwezo wao uwanjani, hawapishani sana. Dakika 90 zinaweza kutoa matokeo ya faida kwako. Dau lako unaliweka kwa nani? Odds ya ushindi ni 1.49 kwa Leipzig.
Funga wiki yako kwa mtanange wa EPL, Leicester City vs Tottenham Hot Spurs! Timu hizi zinafundishwa na makocha wenye weledi mkubwa kwenye mchezo wa soka, utofauti wa mbinu zao, unaweza kutoa burudani ya tofauti kwa mashabiki wa mchezo huu. Kwenye upande wa soko la kubashiri, Odds ya 2.16 imewekwa kwa Leicester ndani ya Meridianbet.
Meridianbet – Nyumba Yenye Odds Bora na Bonasi Kubwa!