Tunisia vs Netherlands FIFA Kombe la Dunia 2026 unayakutanisha mataifa yenye historia tofauti, Juni 26, 2026 saa 8:00 usiku kwa saa za Afrika Mashariki. Mchezo huu utachezwa Uwanja wa Kansas City huku Tunisia wakiwa na kibarua kusaka ushindi kwa mara ya kwanza.
Tunisia hawajashinda mechi yoyote katika michezo mitano iliyopita. Netherlands wanaingia wakiwa katika kiwango bora zaidi,chini ya kocha Ronald Koeman. Walifunga mabao 5 dhidi ya Sweden na kutoa sare ya 2-2 dhidi ya Japan katika Kundi F.
Matokeo ya mechi 5 za Tunisia
vs Japan (Kombe la Dunia): Kufungwa 0-4
vs Sweden (Kombe la Dunia): Kufungwa 1-5
vs Belgium (Kirafiki): Kufungwa 0-5
vs Austria (Kirafiki): Kufungwa 0-1
vs Canada (Kirafiki): Sare 0-0
Matokeo ya mechi 5 za Netherlands
vs Sweden (Kombe la Dunia): Ushindi 5-1
vs Japan (Kombe la Dunia): Sare 2-2
vs Uzbekistan (Kirafiki): Ushindi 2-1
vs Algeria (Kirafiki): Kufungwa 0-1
vs Ecuador (Kirafiki): Sare 1-1
…
Imeandikwa na Lunyamadzo Mlyuka, Mtunzi kitabu cha Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo na Moyo Wangu Unavuja Damu. Kuvipata TUNAOMBA ODA 0756 028 371.
Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo ni simulizi inayozungumzia maisha ya Kiafrika, usaliti, visa, furaha. Wakazi wa Njombe kitabu kinapatikana Mtaa wa Mpechi kwa Chris Jabari, Kigamboni kwa Tupokigwe, Posta karibu na Mnara wa Askari ukiwa unaelekea chuo cha IFM. Kuna kazi mpya inaandaliwa inaitwa Msichana wa Maisha Yangu, jiandae kuipata.