Mtibwa Sugar 0-3 Simba SC

UBAO wa Uwanja wa Jamhuri, Morogoro umesoma Mtibwa Sugar 0-3 Simba SC ikiwa ni NBC Premier League mzunguko wa pili kwa wababe hawa wawili. Mabao yamefungwa na Rushine dakika ya 9 kwa penati, Seleman Mwalimu dakika ya 77 na Anicent Oura dakika 90. Matokeo haya yanaifanya Simba SC kufikisha pointi 67 nafasi ya pili tofauti…

Read More

Yanga SC 3-0 Azam FC

DAKIKA 90 zimekamilika kwa wababe wawili kumtambua mshindi nani katika mchezo wa NBC Premier League uliokuwa na ushindani mkubwa. Mwisho ubao wa Uwanja wa Amaan Zanzibar umesoma Yanga SC 3-0 Azam FC, pointi 3 zikibaki kwa wenyeji wa mchezo Juni 24, 2026 ikiwa ni mzunguko wa pili. Magoli yamefungwa na Ibrahim Bacca dakika 41, Depu…

Read More

Tunisia vs Netherlands Juni 26,2026 Kombe la Dunia

Tunisia vs Netherlands FIFA Kombe la Dunia 2026 unayakutanisha mataifa yenye historia tofauti, Juni 26, 2026 saa 8:00 usiku kwa saa za Afrika Mashariki. Mchezo huu utachezwa Uwanja wa Kansas City huku Tunisia wakiwa na kibarua kusaka ushindi kwa mara ya kwanza. Tunisia hawajashinda mechi yoyote katika michezo mitano iliyopita. Netherlands wanaingia wakiwa katika kiwango…

Read More