Wakali wa kubashiri Tanzania wanasema hivi, historia ikienda kuandikwa kwenye michuano ya Taji la Dunia, wewe una nafasi kubwa ya kutengeneza pesa ndefu hapa. Jisajili na ubashiri sasa.
Leo hii patashika ngo kuchanika ambapo Uswizi atamenyana vikali dhidii ya Canada, mechi ambayo inazikutanisha timu ambazo zina pointi sawa kwenye msimamo wa Kundi B, huku lengo la kila timu likiwa ni kumaliza hatua ya makundi wakiwa nafasi ya kwanza ambapo wenyeji mechi ya kwanza waliambulia sare dhidi ya Qatar wakicheza kwa nidhamu zaidi.
Canada wao kwenye mechi yao ya pili walitoa kichapo kizito kwa Qatar tena bila hata kuruhusu goli kwenye mechi hiyo. Zinakutana timu ambazo zote zina ubora na kwenye viwango vya FIFA, Uswizi wapo nafasi ya 19 huku wapinzani wao wakiwa nafasi ya 30 hadi sasa. Beti mechi hii pale Meridianbet.
Pointi 3 leo ni muhimu kwa timu zote mbili na zina wachezaji wazuri wenye ubora na wa kubadilisha matokeo kwa wakati wowote, kutengeneza nafasi nzuri ambapo timu yenye ufanisi mzuri ndani ya goli ndiyo ambayo inaweza kuondoka na matokeo mazuri.
Ushindi nje nje kwenye michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile Keno, Aviator, Poker, Roullette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Canada inapendelea kucheza kwa kasi na kutumia nafasi za kushtukiza, jambo ambalo linaweza kuwasumbua mabeki wa Uswizi. Hata hivyo, udhaifu wao katika kujilinda dhidi ya mashambulizi ya haraka unaweza kuwagharimu ikiwa watapoteza umakini. Odds kubwa zipo kwenye mechi hii. Jisajili na ushinde leo.
Kivumbi kingine ni hiki cha Bosnia & Herzegovina dhidi ya Qatar ambao hawa walikuwa wenyeji wa michuano hii mwaka 2022. Mpaka sasa timu hizi zina pointi moja kwenye moja kwenye mechi zao mbili ambazo wamecheza hadi sasa baada ya kutoa sare mechi moja na kupoteza mechi moja.
Ikumbukwe kuwa hii ni mechi muhimu na yenye ushindani mkubwa kwani kila timu inahitaji kwa hali na mali ushindi ili kujiweka angalia kwenye sehemu nzuri ya kucheza hata play offs tuu. Ikumbukwe kuwa ambaye atapoteza mechi hii ndiyo safari yake ya kuendelea kwenye mashindano haya inakufa hapa.
Timu ya Qatar wanahitaji kuonyesha mabadiliko makubwa baada ya kufanya vibaya dhidi ya Canada. Timu hiyo imekuwa ikisumbuliwa na ukosefu wa nidhamu na kushindwa kutumia nafasi chache wanazozipata.
Kwa upande wa Bosnia wao wanaingia kwenye mchezo huu wakiwa wanapewa nafasi kubwa zaidi ya kuibuka na ushindi kutokana na ubora wa kikosi na uzoefu wa mashindano makubwa. Wewe jamvi lako unaliweka kwa nani siku ya leo?. Suka jamvi hapa na Meridianbet.